Native Bible

Proverbs 23:2 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

na utie kisu kooni mwako kama ukiwa mlafi.

Proverbs 23:2 in English

Proverbs 23:2 · Berean Standard Bible

and put a knife to your throat if you possess a great appetite.

Context

1Uketipo kula chakula na mtawala, angalia vyema kile kilicho mbele yako, 2na utie kisu kooni mwako kama ukiwa mlafi. 3Usitamani vyakula vyake vitamu kwa kuwa chakula hicho ni cha hila. 4Usijitaabishe ili kuupata utajiri, uwe na hekima kuonyesha kujizuia.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.