Native Bible

Proverbs 22:14 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Kinywa cha mwanamke kahaba ni shimo refu; yeye aliye chini ya ghadhabu ya Bwana atatumbukia ndani yake.

Proverbs 22:14 in English

Proverbs 22:14 · Berean Standard Bible

The mouth of an adulteress is a deep pit; he who is under the wrath of the LORD will fall into it.

Context

12Macho ya Bwana hulinda maarifa, bali huyapinga maneno ya asiye mwaminifu. 13Mvivu husema, “Yuko simba nje!” au, “Nitauawa katika mitaa!” 14Kinywa cha mwanamke kahaba ni shimo refu; yeye aliye chini ya ghadhabu ya Bwana atatumbukia ndani yake. 15Upumbavu umefungwa ndani ya moyo wa mtoto, bali fimbo ya adhabu itaufukuzia mbali naye. 16Yeye amwoneaye maskini ili kujiongezea mali, naye ampaye tajiri zawadi, wote huwa maskini.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.