Native Bible

Proverbs 22:12 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Macho ya Bwana hulinda maarifa, bali huyapinga maneno ya asiye mwaminifu.

Proverbs 22:12 in English

Proverbs 22:12 · Berean Standard Bible

The LORD’s eyes keep watch over knowledge, but He frustrates the words of the faithless.

Context

10Mfukuze mwenye dhihaka, na mvutano utatoweka; ugomvi na matukano vitakoma. 11Yeye apendaye moyo safi na yeye ambaye maneno yake ni ya neema, mfalme atakuwa rafiki yake. 12Macho ya Bwana hulinda maarifa, bali huyapinga maneno ya asiye mwaminifu. 13Mvivu husema, “Yuko simba nje!” au, “Nitauawa katika mitaa!” 14Kinywa cha mwanamke kahaba ni shimo refu; yeye aliye chini ya ghadhabu ya Bwana atatumbukia ndani yake.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.