Native Bible

Proverbs 22:13 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Mvivu husema, “Yuko simba nje!” au, “Nitauawa katika mitaa!”

Proverbs 22:13 in English

Proverbs 22:13 · Berean Standard Bible

The slacker says, “There is a lion outside! I will be slain in the streets!”

Context

11Yeye apendaye moyo safi na yeye ambaye maneno yake ni ya neema, mfalme atakuwa rafiki yake. 12Macho ya Bwana hulinda maarifa, bali huyapinga maneno ya asiye mwaminifu. 13Mvivu husema, “Yuko simba nje!” au, “Nitauawa katika mitaa!” 14Kinywa cha mwanamke kahaba ni shimo refu; yeye aliye chini ya ghadhabu ya Bwana atatumbukia ndani yake. 15Upumbavu umefungwa ndani ya moyo wa mtoto, bali fimbo ya adhabu itaufukuzia mbali naye.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.