Native Bible

Proverbs 22:11 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Yeye apendaye moyo safi na yeye ambaye maneno yake ni ya neema, mfalme atakuwa rafiki yake.

Proverbs 22:11 in English

Proverbs 22:11 · Berean Standard Bible

He who loves a pure heart and gracious lips will have the king for a friend.

Context

9Mtu mkarimu yeye mwenyewe atabarikiwa kwa kuwa hushiriki chakula chake na maskini. 10Mfukuze mwenye dhihaka, na mvutano utatoweka; ugomvi na matukano vitakoma. 11Yeye apendaye moyo safi na yeye ambaye maneno yake ni ya neema, mfalme atakuwa rafiki yake. 12Macho ya Bwana hulinda maarifa, bali huyapinga maneno ya asiye mwaminifu. 13Mvivu husema, “Yuko simba nje!” au, “Nitauawa katika mitaa!”

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.