Mithali 22:9
Proverbs 22:9 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Mtu mkarimu yeye mwenyewe atabarikiwa kwa kuwa hushiriki chakula chake na maskini.
Proverbs 22:9 in English
Proverbs 22:9 · Berean Standard Bible
A generous man * will be blessed, for he shares his bread with the poor.
Context
7Matajiri huwatawala maskini
naye akopaye ni mtumwa wa akopeshaye. 8Yeye aupandaye uovu huvuna taabu,
nayo fimbo ya ghadhabu yake itaangamizwa. 9Mtu mkarimu yeye mwenyewe atabarikiwa
kwa kuwa hushiriki chakula chake na maskini. 10Mfukuze mwenye dhihaka,
na mvutano utatoweka;
ugomvi na matukano vitakoma. 11Yeye apendaye moyo safi na yeye ambaye maneno yake ni ya neema,
mfalme atakuwa rafiki yake.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.