Mithali 21:3
Proverbs 21:3 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Kufanya yaliyo sawa na haki inakubalika zaidi kwa Bwana kuliko dhabihu.
Proverbs 21:3 in English
Proverbs 21:3 · Berean Standard Bible
To do righteousness and justice is more desirable to the LORD than sacrifice.
Context
1Moyo wa mfalme uko katika mkono wa Bwana;
huuongoza kama mkondo wa maji, popote apendapo. 2Njia zote za mwanadamu huonekana sawa kwake,
bali Bwana huupima moyo. 3Kufanya yaliyo sawa na haki inakubalika
zaidi kwa Bwana kuliko dhabihu. 4Macho ya kudharau na moyo wa kiburi,
ambavyo ni taa ya waovu, vyote ni dhambi! 5Mipango ya mwenye bidii huelekeza kwenye faida,
kama vile kwa hakika pupa huelekeza kwenye umaskini.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.