Mithali 21:4
Proverbs 21:4 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Macho ya kudharau na moyo wa kiburi, ambavyo ni taa ya waovu, vyote ni dhambi!
Proverbs 21:4 in English
Proverbs 21:4 · Berean Standard Bible
Haughty eyes and a proud heart— the guides of the wicked—are sin.
Context
2Njia zote za mwanadamu huonekana sawa kwake,
bali Bwana huupima moyo. 3Kufanya yaliyo sawa na haki inakubalika
zaidi kwa Bwana kuliko dhabihu. 4Macho ya kudharau na moyo wa kiburi,
ambavyo ni taa ya waovu, vyote ni dhambi! 5Mipango ya mwenye bidii huelekeza kwenye faida,
kama vile kwa hakika pupa huelekeza kwenye umaskini. 6Mali iliyopatikana kwa ulimi wa uongo
ni mvuke upitao upesi na mtego wa kufisha.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.