Native Bible

Proverbs 21:2 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Njia zote za mwanadamu huonekana sawa kwake, bali Bwana huupima moyo.

Proverbs 21:2 in English

Proverbs 21:2 · Berean Standard Bible

All a man’s ways seem right to him, but the LORD weighs the heart.

Context

1Moyo wa mfalme uko katika mkono wa Bwana; huuongoza kama mkondo wa maji, popote apendapo. 2Njia zote za mwanadamu huonekana sawa kwake, bali Bwana huupima moyo. 3Kufanya yaliyo sawa na haki inakubalika zaidi kwa Bwana kuliko dhabihu. 4Macho ya kudharau na moyo wa kiburi, ambavyo ni taa ya waovu, vyote ni dhambi!

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.