Native Bible

Proverbs 19:28 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Shahidi mla rushwa hudhihaki hukumu na kinywa cha mtu mwovu humeza ubaya kwa upesi.

Proverbs 19:28 in English

Proverbs 19:28 · Berean Standard Bible

A corrupt witness mocks justice, and a wicked mouth swallows iniquity.

Context

26Yeye amwibiaye baba yake na kumfukuza mama yake ni mwana aletaye aibu na fedheha. 27Mwanangu, ukiacha kusikiliza mafundisho, utatangatanga mbali na maneno ya maarifa. 28Shahidi mla rushwa hudhihaki hukumu na kinywa cha mtu mwovu humeza ubaya kwa upesi. 29Adhabu zimeandaliwa kwa ajili ya wenye dhihaka na mapigo kwa ajili ya migongo ya wapumbavu.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.