Native Bible

Proverbs 19:29 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Adhabu zimeandaliwa kwa ajili ya wenye dhihaka na mapigo kwa ajili ya migongo ya wapumbavu.

Proverbs 19:29 in English

Proverbs 19:29 · Berean Standard Bible

Judgments are prepared for mockers, and beatings for the backs of fools.

Context

27Mwanangu, ukiacha kusikiliza mafundisho, utatangatanga mbali na maneno ya maarifa. 28Shahidi mla rushwa hudhihaki hukumu na kinywa cha mtu mwovu humeza ubaya kwa upesi. 29Adhabu zimeandaliwa kwa ajili ya wenye dhihaka na mapigo kwa ajili ya migongo ya wapumbavu.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.