Mithali 19:27
Proverbs 19:27 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Mwanangu, ukiacha kusikiliza mafundisho, utatangatanga mbali na maneno ya maarifa.
Proverbs 19:27 in English
Proverbs 19:27 · Berean Standard Bible
If you cease to hear instruction, my son, you will stray from the words of knowledge.
Context
25Mpige mwenye mzaha, naye mjinga atajifunza busara,
mkemee mwenye ufahamu naye atapata maarifa. 26Yeye amwibiaye baba yake na kumfukuza mama yake
ni mwana aletaye aibu na fedheha. 27Mwanangu, ukiacha kusikiliza mafundisho,
utatangatanga mbali na maneno ya maarifa. 28Shahidi mla rushwa hudhihaki hukumu
na kinywa cha mtu mwovu humeza ubaya kwa upesi. 29Adhabu zimeandaliwa kwa ajili ya wenye dhihaka
na mapigo kwa ajili ya migongo ya wapumbavu.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.