Mithali 19:26
Proverbs 19:26 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Yeye amwibiaye baba yake na kumfukuza mama yake ni mwana aletaye aibu na fedheha.
Proverbs 19:26 in English
Proverbs 19:26 · Berean Standard Bible
He who assaults his father or evicts his mother is a son who brings shame and disgrace.
Context
24Mtu mvivu hutumbukiza mkono wake kwenye sahani,
lakini hawezi hata kuupeleka kwenye kinywa chake! 25Mpige mwenye mzaha, naye mjinga atajifunza busara,
mkemee mwenye ufahamu naye atapata maarifa. 26Yeye amwibiaye baba yake na kumfukuza mama yake
ni mwana aletaye aibu na fedheha. 27Mwanangu, ukiacha kusikiliza mafundisho,
utatangatanga mbali na maneno ya maarifa. 28Shahidi mla rushwa hudhihaki hukumu
na kinywa cha mtu mwovu humeza ubaya kwa upesi.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.