Native Bible

Proverbs 16:7 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Njia za mtu zinapompendeza Bwana, huwafanya hata adui zake waishi naye kwa amani.

Proverbs 16:7 in English

Proverbs 16:7 · Berean Standard Bible

When a man’s ways please the LORD, He makes even the man’s enemies live at peace with him.

Context

5Bwana huwachukia sana wote wenye kiburi cha moyo. Uwe na hakika kwa hili: Hawataepuka kuadhibiwa. 6Kwa upendo na uaminifu uovu huondolewa; kwa kumcha Bwana mtu hujiepusha na ubaya. 7Njia za mtu zinapompendeza Bwana, huwafanya hata adui zake waishi naye kwa amani. 8Afadhali kitu kidogo pamoja na haki kuliko mapato mengi pamoja na udhalimu. 9Moyo wa mtu huifikiri njia yake, bali Bwana huelekeza hatua zake.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.