Mithali 16:5
Proverbs 16:5 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Bwana huwachukia sana wote wenye kiburi cha moyo. Uwe na hakika kwa hili: Hawataepuka kuadhibiwa.
Proverbs 16:5 in English
Proverbs 16:5 · Berean Standard Bible
Everyone who is proud in heart is detestable to the LORD; be assured that he will not go unpunished.
Context
3Mkabidhi Bwana lolote ufanyalo,
nayo mipango yako itafanikiwa. 4Bwana hufanya kila kitu kwa kusudi lake mwenyewe;
hata waovu kwa siku ya maangamizi. 5Bwana huwachukia sana wote wenye kiburi cha moyo.
Uwe na hakika kwa hili: Hawataepuka kuadhibiwa. 6Kwa upendo na uaminifu uovu huondolewa;
kwa kumcha Bwana mtu hujiepusha na ubaya. 7Njia za mtu zinapompendeza Bwana,
huwafanya hata adui zake waishi naye kwa amani.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.