Native Bible

Proverbs 16:4 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Bwana hufanya kila kitu kwa kusudi lake mwenyewe; hata waovu kwa siku ya maangamizi.

Proverbs 16:4 in English

Proverbs 16:4 · Berean Standard Bible

The LORD has made everything for His purpose— even the wicked for the day of disaster.

Context

2Njia zote za mtu huonekana safi machoni pake mwenyewe, bali makusudi hupimwa na Bwana. 3Mkabidhi Bwana lolote ufanyalo, nayo mipango yako itafanikiwa. 4Bwana hufanya kila kitu kwa kusudi lake mwenyewe; hata waovu kwa siku ya maangamizi. 5Bwana huwachukia sana wote wenye kiburi cha moyo. Uwe na hakika kwa hili: Hawataepuka kuadhibiwa. 6Kwa upendo na uaminifu uovu huondolewa; kwa kumcha Bwana mtu hujiepusha na ubaya.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.