Mithali 16:2
Proverbs 16:2 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Njia zote za mtu huonekana safi machoni pake mwenyewe, bali makusudi hupimwa na Bwana.
Proverbs 16:2 in English
Proverbs 16:2 · Berean Standard Bible
All a man’s ways are pure in his own eyes, but his motives are weighed out by the LORD.
Context
1Mipango ya moyoni ni ya mwanadamu,
bali jibu la ulimi hutoka kwa Bwana. 2Njia zote za mtu huonekana safi machoni pake mwenyewe,
bali makusudi hupimwa na Bwana. 3Mkabidhi Bwana lolote ufanyalo,
nayo mipango yako itafanikiwa. 4Bwana hufanya kila kitu kwa kusudi lake mwenyewe;
hata waovu kwa siku ya maangamizi.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.