Mithali 16:3
Proverbs 16:3 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Mkabidhi Bwana lolote ufanyalo, nayo mipango yako itafanikiwa.
Proverbs 16:3 in English
Proverbs 16:3 · Berean Standard Bible
Commit your works to the LORD and your plans will be achieved.
Context
1Mipango ya moyoni ni ya mwanadamu,
bali jibu la ulimi hutoka kwa Bwana. 2Njia zote za mtu huonekana safi machoni pake mwenyewe,
bali makusudi hupimwa na Bwana. 3Mkabidhi Bwana lolote ufanyalo,
nayo mipango yako itafanikiwa. 4Bwana hufanya kila kitu kwa kusudi lake mwenyewe;
hata waovu kwa siku ya maangamizi. 5Bwana huwachukia sana wote wenye kiburi cha moyo.
Uwe na hakika kwa hili: Hawataepuka kuadhibiwa.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.