Mithali 16:8
Proverbs 16:8 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Afadhali kitu kidogo pamoja na haki kuliko mapato mengi pamoja na udhalimu.
Proverbs 16:8 in English
Proverbs 16:8 · Berean Standard Bible
Better a little with righteousness than great gain with injustice.
Context
6Kwa upendo na uaminifu uovu huondolewa;
kwa kumcha Bwana mtu hujiepusha na ubaya. 7Njia za mtu zinapompendeza Bwana,
huwafanya hata adui zake waishi naye kwa amani. 8Afadhali kitu kidogo pamoja na haki
kuliko mapato mengi pamoja na udhalimu. 9Moyo wa mtu huifikiri njia yake,
bali Bwana huelekeza hatua zake. 10Midomo ya mfalme huzungumza kwa hekima ya kiungu,
wala kinywa chake hakipotoshi haki.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.