Native Bible

Proverbs 16:9 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Moyo wa mtu huifikiri njia yake, bali Bwana huelekeza hatua zake.

Proverbs 16:9 in English

Proverbs 16:9 · Berean Standard Bible

A man’s heart plans his course, but the LORD determines his steps.

Context

7Njia za mtu zinapompendeza Bwana, huwafanya hata adui zake waishi naye kwa amani. 8Afadhali kitu kidogo pamoja na haki kuliko mapato mengi pamoja na udhalimu. 9Moyo wa mtu huifikiri njia yake, bali Bwana huelekeza hatua zake. 10Midomo ya mfalme huzungumza kwa hekima ya kiungu, wala kinywa chake hakipotoshi haki. 11Vipimo na mizani za halali hutoka kwa Bwana; mawe yote ya kupimia yaliyo katika mfuko ameyafanya yeye.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.