Mithali 13:14
Proverbs 13:14 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Mafundisho ya mwenye busara ni chemchemi ya uzima, ili kumwepusha mtu na mitego ya mauti.
Proverbs 13:14 in English
Proverbs 13:14 · Berean Standard Bible
The teaching * of the wise is a fountain of life, turning one from the snares of death.
Context
12Kilichotarajiwa kikikawia kuja moyo huugua,
bali tumaini lililotimizwa ni mti wa uzima. 13Yeye anayedharau mafundisho anajiletea maangamizi,
bali yeye anayeheshimu agizo hupewa tuzo. 14Mafundisho ya mwenye busara ni chemchemi ya uzima,
ili kumwepusha mtu na mitego ya mauti. 15Ufahamu mzuri hupata upendeleo,
bali njia ya asiye mwaminifu ni ngumu. 16Kila mwenye busara hutenda kwa maarifa,
bali mpumbavu hudhihirisha upumbavu wake.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.