Mithali 13:15
Proverbs 13:15 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Ufahamu mzuri hupata upendeleo, bali njia ya asiye mwaminifu ni ngumu.
Proverbs 13:15 in English
Proverbs 13:15 · Berean Standard Bible
Good understanding wins favor, but the way of the faithless is difficult.
Context
13Yeye anayedharau mafundisho anajiletea maangamizi,
bali yeye anayeheshimu agizo hupewa tuzo. 14Mafundisho ya mwenye busara ni chemchemi ya uzima,
ili kumwepusha mtu na mitego ya mauti. 15Ufahamu mzuri hupata upendeleo,
bali njia ya asiye mwaminifu ni ngumu. 16Kila mwenye busara hutenda kwa maarifa,
bali mpumbavu hudhihirisha upumbavu wake. 17Mjumbe mwovu huanguka kwenye taabu,
bali mjumbe mwaminifu huleta uponyaji.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.