Mithali 10:4
Proverbs 10:4 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Mikono mivivu hufanya mtu kuwa maskini lakini mikono yenye bidii huleta utajiri.
Proverbs 10:4 in English
Proverbs 10:4 · Berean Standard Bible
Idle hands make one poor, but diligent hands bring wealth.
Context
2Hazina zilizopatikana kwa njia mbaya hazifai,
lakini uadilifu huokoa kutoka mautini. 3Bwana hawaachi waadilifu kukaa njaa,
lakini hupinga tamaa ya mtu mwovu. 4Mikono mivivu hufanya mtu kuwa maskini
lakini mikono yenye bidii huleta utajiri. 5Yeye akusanyaye mazao wakati wa kiangazi
ni mwana mwenye hekima,
lakini yeye alalaye wakati wa mavuno
ni mwana mwenye kuaibisha. 6Baraka huwa taji kichwani mwa mwenye haki,
lakini jeuri hufunika kinywa cha mwovu.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.