Mithali 10:2
Proverbs 10:2 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Hazina zilizopatikana kwa njia mbaya hazifai, lakini uadilifu huokoa kutoka mautini.
Proverbs 10:2 in English
Proverbs 10:2 · Berean Standard Bible
Ill-gotten treasures profit nothing, but righteousness brings deliverance from death.
Context
1Mithali za Solomoni:
Mwana mwenye hekima
huleta furaha kwa baba yake,
lakini mwana mpumbavu
huleta huzuni kwa mama yake. 2Hazina zilizopatikana kwa njia mbaya hazifai,
lakini uadilifu huokoa kutoka mautini. 3Bwana hawaachi waadilifu kukaa njaa,
lakini hupinga tamaa ya mtu mwovu. 4Mikono mivivu hufanya mtu kuwa maskini
lakini mikono yenye bidii huleta utajiri.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.