Native Bible

Proverbs 10:1 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Mithali za Solomoni: Mwana mwenye hekima huleta furaha kwa baba yake, lakini mwana mpumbavu huleta huzuni kwa mama yake.

Proverbs 10:1 in English

Proverbs 10:1 · Berean Standard Bible

The proverbs of Solomon: A wise son brings joy to his father, but a foolish son grief to his mother.

Context

1Mithali za Solomoni: Mwana mwenye hekima huleta furaha kwa baba yake, lakini mwana mpumbavu huleta huzuni kwa mama yake. 2Hazina zilizopatikana kwa njia mbaya hazifai, lakini uadilifu huokoa kutoka mautini. 3Bwana hawaachi waadilifu kukaa njaa, lakini hupinga tamaa ya mtu mwovu.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.