Native Bible

Proverbs 10:6 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Baraka huwa taji kichwani mwa mwenye haki, lakini jeuri hufunika kinywa cha mwovu.

Proverbs 10:6 in English

Proverbs 10:6 · Berean Standard Bible

Blessings are on the head of the righteous, but the mouth of the wicked conceals violence.*

Context

4Mikono mivivu hufanya mtu kuwa maskini lakini mikono yenye bidii huleta utajiri. 5Yeye akusanyaye mazao wakati wa kiangazi ni mwana mwenye hekima, lakini yeye alalaye wakati wa mavuno ni mwana mwenye kuaibisha. 6Baraka huwa taji kichwani mwa mwenye haki, lakini jeuri hufunika kinywa cha mwovu. 7Kumbukumbu ya mwenye haki itakuwa baraka, lakini jina la mwovu litaoza. 8Mwenye hekima moyoni hupokea maagizo, lakini mpumbavu apayukaye huangamia.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.