Mithali 10:8
Proverbs 10:8 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Mwenye hekima moyoni hupokea maagizo, lakini mpumbavu apayukaye huangamia.
Proverbs 10:8 in English
Proverbs 10:8 · Berean Standard Bible
A wise heart will receive commandments, but foolish lips will come to ruin.
Context
6Baraka huwa taji kichwani mwa mwenye haki,
lakini jeuri hufunika kinywa cha mwovu. 7Kumbukumbu ya mwenye haki itakuwa baraka,
lakini jina la mwovu litaoza. 8Mwenye hekima moyoni hupokea maagizo,
lakini mpumbavu apayukaye huangamia. 9Mtu mwadilifu hutembea salama,
lakini mtu aendaye katika njia zilizopotoka atagunduliwa. 10Yeye akonyezaye kwa nia mbaya husababisha huzuni,
naye mpumbavu apayukaye huangamia.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.