Native Bible

Philippians 4:22 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Watakatifu wote wanawasalimu, hasa wale watu wa nyumbani mwa Kaisari.

Philippians 4:22 in English

Philippians 4:22 · Berean Standard Bible

All the saints send you greetings, especially those from the household of Caesar.

Context

20Mungu wetu aliye Baba yetu apewe utukufu milele na milele. Amen. 21Msalimuni kila mtakatifu katika Kristo Yesu. Ndugu walioko pamoja nami wanawasalimu. 22Watakatifu wote wanawasalimu, hasa wale watu wa nyumbani mwa Kaisari. 23Neema ya Bwana Yesu Kristo iwe pamoja na roho zenu. Amen.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.