Native Bible

Philippians 4:21 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Msalimuni kila mtakatifu katika Kristo Yesu. Ndugu walioko pamoja nami wanawasalimu.

Philippians 4:21 in English

Philippians 4:21 · Berean Standard Bible

Greet all the saints in Christ Jesus. The brothers who are with me send you greetings.

Context

19Naye Mungu wangu atawajaza ninyi na kila mnachohitaji kwa kadiri ya utajiri wake katika utukufu ndani ya Kristo Yesu. 20Mungu wetu aliye Baba yetu apewe utukufu milele na milele. Amen. 21Msalimuni kila mtakatifu katika Kristo Yesu. Ndugu walioko pamoja nami wanawasalimu. 22Watakatifu wote wanawasalimu, hasa wale watu wa nyumbani mwa Kaisari. 23Neema ya Bwana Yesu Kristo iwe pamoja na roho zenu. Amen.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.