Native Bible

Philippians 4:20 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Mungu wetu aliye Baba yetu apewe utukufu milele na milele. Amen.

Philippians 4:20 in English

Philippians 4:20 · Berean Standard Bible

To our God and Father be glory forever and ever. Amen.

Context

18Nimelipwa kikamilifu hata na zaidi; nimetoshelezwa kabisa sasa, kwa kuwa nimepokea kutoka kwa Epafrodito vile vitu mlivyonitumia, sadaka yenye harufu nzuri, dhabihu inayokubalika na ya kumpendeza Mungu. 19Naye Mungu wangu atawajaza ninyi na kila mnachohitaji kwa kadiri ya utajiri wake katika utukufu ndani ya Kristo Yesu. 20Mungu wetu aliye Baba yetu apewe utukufu milele na milele. Amen. 21Msalimuni kila mtakatifu katika Kristo Yesu. Ndugu walioko pamoja nami wanawasalimu. 22Watakatifu wote wanawasalimu, hasa wale watu wa nyumbani mwa Kaisari.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.