Native Bible

Philippians 4:23 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Neema ya Bwana Yesu Kristo iwe pamoja na roho zenu. Amen.

Philippians 4:23 in English

Philippians 4:23 · Berean Standard Bible

The grace of the Lord Jesus Christ be with your spirit.*

Context

21Msalimuni kila mtakatifu katika Kristo Yesu. Ndugu walioko pamoja nami wanawasalimu. 22Watakatifu wote wanawasalimu, hasa wale watu wa nyumbani mwa Kaisari. 23Neema ya Bwana Yesu Kristo iwe pamoja na roho zenu. Amen.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.