Filemoni 1:24
Philemon 1:24 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Vivyo hivyo Marko, Aristarko, Dema na Luka, watendakazi wenzangu wanakusalimu.
Philemon 1:24 in English
Philemon 1:24 · Berean Standard Bible
as do Mark, Aristarchus, Demas, and Luke, my fellow workers.
Context
22Jambo moja zaidi: Niandalie chumba cha wageni, kwa kuwa nataraji kurudishwa kwenu kama jibu la maombi yenu. 23Epafra, aliye mfungwa mwenzangu katika Kristo Yesu, anakusalimu. 24Vivyo hivyo Marko, Aristarko, Dema na Luka, watendakazi wenzangu wanakusalimu. 25Neema ya Bwana Yesu Kristo iwe pamoja na roho zenu. Amen.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.