Filemoni 1:22
Philemon 1:22 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Jambo moja zaidi: Niandalie chumba cha wageni, kwa kuwa nataraji kurudishwa kwenu kama jibu la maombi yenu.
Philemon 1:22 in English
Philemon 1:22 · Berean Standard Bible
In the meantime, prepare a guest room for me, because I hope that through your prayers I will be restored to you.
Context
20Ndugu yangu, natamani nipate faida kwako katika Bwana, uuburudishe moyo wangu katika Kristo. 21Nikiwa na hakika ya utii wako, nakuandikia, nikijua kwamba utafanya hata zaidi ya yale ninayokuomba. 22Jambo moja zaidi: Niandalie chumba cha wageni, kwa kuwa nataraji kurudishwa kwenu kama jibu la maombi yenu. 23Epafra, aliye mfungwa mwenzangu katika Kristo Yesu, anakusalimu. 24Vivyo hivyo Marko, Aristarko, Dema na Luka, watendakazi wenzangu wanakusalimu.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.