Filemoni 1:23
Philemon 1:23 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Epafra, aliye mfungwa mwenzangu katika Kristo Yesu, anakusalimu.
Philemon 1:23 in English
Philemon 1:23 · Berean Standard Bible
Epaphras, my fellow prisoner in Christ Jesus, sends you greetings,
Context
21Nikiwa na hakika ya utii wako, nakuandikia, nikijua kwamba utafanya hata zaidi ya yale ninayokuomba. 22Jambo moja zaidi: Niandalie chumba cha wageni, kwa kuwa nataraji kurudishwa kwenu kama jibu la maombi yenu. 23Epafra, aliye mfungwa mwenzangu katika Kristo Yesu, anakusalimu. 24Vivyo hivyo Marko, Aristarko, Dema na Luka, watendakazi wenzangu wanakusalimu. 25Neema ya Bwana Yesu Kristo iwe pamoja na roho zenu. Amen.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.