Native Bible

Philemon 1:20 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Ndugu yangu, natamani nipate faida kwako katika Bwana, uuburudishe moyo wangu katika Kristo.

Philemon 1:20 in English

Philemon 1:20 · Berean Standard Bible

Yes, brother, let me have some benefit * from you in the Lord. Refresh my heart in Christ.

Context

18Kama amekukosea lolote au kama unamdai chochote, nidai mimi. 19Ni mimi Paulo, ninayeandika waraka huu kwa mkono wangu mwenyewe. Nitakulipa. Sitaji kwamba nakudai hata nafsi yako. 20Ndugu yangu, natamani nipate faida kwako katika Bwana, uuburudishe moyo wangu katika Kristo. 21Nikiwa na hakika ya utii wako, nakuandikia, nikijua kwamba utafanya hata zaidi ya yale ninayokuomba. 22Jambo moja zaidi: Niandalie chumba cha wageni, kwa kuwa nataraji kurudishwa kwenu kama jibu la maombi yenu.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.