Filemoni 1:18
Philemon 1:18 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Kama amekukosea lolote au kama unamdai chochote, nidai mimi.
Philemon 1:18 in English
Philemon 1:18 · Berean Standard Bible
But if he has wronged you in any way or owes you anything, charge it to my account.
Context
16Si kama mtumwa, bali bora kuliko mtumwa, kama ndugu mpendwa. Yeye ni mpendwa sana kwangu na hata kwako zaidi, yeye kama mwanadamu na kama ndugu katika Bwana. 17Hivyo kama unanihesabu mimi kuwa mshirika wako, mkaribishe kama vile ungenikaribisha mimi mwenyewe. 18Kama amekukosea lolote au kama unamdai chochote, nidai mimi. 19Ni mimi Paulo, ninayeandika waraka huu kwa mkono wangu mwenyewe. Nitakulipa. Sitaji kwamba nakudai hata nafsi yako. 20Ndugu yangu, natamani nipate faida kwako katika Bwana, uuburudishe moyo wangu katika Kristo.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.