Hesabu 7:16
Numbers 7:16 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
mbuzi dume mmoja kwa ajili ya sadaka ya dhambi;
Numbers 7:16 in English
Numbers 7:16 · Berean Standard Bible
one male goat for a sin offering;
Context
14sinia moja la dhahabu lenye uzito wa shekeli kumi,* likiwa limejazwa uvumba; 15fahali mmoja mchanga, kondoo dume mmoja na mwana-kondoo dume mmoja wa mwaka mmoja, kwa ajili ya sadaka ya kuteketezwa; 16mbuzi dume mmoja kwa ajili ya sadaka ya dhambi; 17maksai wawili, kondoo dume watano, mbuzi dume watano na wana-kondoo dume watano wa mwaka mmoja, ili vitolewe dhabihu kama sadaka ya amani. Hii ndiyo ilikuwa sadaka ya Nashoni mwana wa Aminadabu. 18Siku ya pili yake Nethaneli mwana wa Suari, kiongozi wa kabila la Isakari, alileta sadaka yake.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.