Hesabu 7:14
Numbers 7:14 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
sinia moja la dhahabu lenye uzito wa shekeli kumi,* likiwa limejazwa uvumba;
Numbers 7:14 in English
Numbers 7:14 · Berean Standard Bible
one gold dish weighing ten shekels,* filled with incense;
Context
12Yule ambaye alileta sadaka yake siku ya kwanza alikuwa Nashoni, mwana wa Aminadabu, wa kabila la Yuda. 13Sadaka yake ilikuwa sahani moja ya fedha yenye uzito wa shekeli 130,* na bakuli moja la fedha la kunyunyizia lenye uzito wa shekeli sabini,* vyote kulingana na shekeli ya mahali patakatifu, vikiwa vimejazwa unga laini uliochanganywa na mafuta kama sadaka ya nafaka; 14sinia moja la dhahabu lenye uzito wa shekeli kumi,* likiwa limejazwa uvumba; 15fahali mmoja mchanga, kondoo dume mmoja na mwana-kondoo dume mmoja wa mwaka mmoja, kwa ajili ya sadaka ya kuteketezwa; 16mbuzi dume mmoja kwa ajili ya sadaka ya dhambi;
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.