Native Bible

Numbers 6:24 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

“ ‘ “Bwana akubariki na kukulinda;

Numbers 6:24 in English

Numbers 6:24 · Berean Standard Bible

‘May the LORD bless you and keep you;

Context

22Bwana akamwambia Mose, 23“Mwambie Aroni na wanawe, ‘Hivi ndivyo mtakavyowabariki Waisraeli. Waambieni: 24“ ‘ “Bwana akubariki na kukulinda; 25Bwana akuangazie nuru ya uso wake na kukufadhili; 26Bwana akugeuzie uso wake na kukupa amani.” ’

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.