Native Bible

Numbers 6:25 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Bwana akuangazie nuru ya uso wake na kukufadhili;

Numbers 6:25 in English

Numbers 6:25 · Berean Standard Bible

may the LORD cause His face to shine upon you and be gracious to you;

Context

23“Mwambie Aroni na wanawe, ‘Hivi ndivyo mtakavyowabariki Waisraeli. Waambieni: 24“ ‘ “Bwana akubariki na kukulinda; 25Bwana akuangazie nuru ya uso wake na kukufadhili; 26Bwana akugeuzie uso wake na kukupa amani.” ’ 27“Hivyo wataliweka Jina langu juu ya Waisraeli, nami nitawabariki.”

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.