Hesabu 6:23
Numbers 6:23 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
“Mwambie Aroni na wanawe, ‘Hivi ndivyo mtakavyowabariki Waisraeli. Waambieni:
Numbers 6:23 in English
Numbers 6:23 · Berean Standard Bible
“Tell Aaron and his sons: This is how you are to bless the Israelites. Say to them:
Context
21“ ‘Hii ndiyo sheria ya Mnadhiri ambaye anaweka nadhiri kwa matoleo yake kwa Bwana kufuatana na kujitenga kwake, zaidi ya chochote kile anachoweza kupata. Ni lazima atimize nadhiri aliyoiweka kufuatana na sheria ya Mnadhiri.’ ” 22Bwana akamwambia Mose, 23“Mwambie Aroni na wanawe, ‘Hivi ndivyo mtakavyowabariki Waisraeli. Waambieni: 24“ ‘ “Bwana akubariki
na kukulinda; 25Bwana akuangazie nuru ya uso wake
na kukufadhili;
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.