Hesabu 4:40
Numbers 4:40 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
waliohesabiwa kwa koo zao na jamaa zao, walikuwa 2,630.
Numbers 4:40 in English
Numbers 4:40 · Berean Standard Bible
And those numbered by their clans and families totaled 2,630.
Context
38Wagershoni walihesabiwa kwa koo zao na jamaa zao. 39Watu wote kuanzia umri wa miaka thelathini hadi hamsini ambao walikuja kutumika katika Hema la Kukutania, 40waliohesabiwa kwa koo zao na jamaa zao, walikuwa 2,630. 41Hii ilikuwa ndiyo jumla ya wale wa koo za Gershoni ambao walitumika katika Hema la Kukutania. Mose na Aroni waliwahesabu kufuatana na amri ya Bwana. 42Wamerari walihesabiwa kwa koo zao na jamaa zao.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.