Native Bible

Numbers 4:42 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Wamerari walihesabiwa kwa koo zao na jamaa zao.

Numbers 4:42 in English

Numbers 4:42 · Berean Standard Bible

And the Merarites were numbered by their clans and families,

Context

40waliohesabiwa kwa koo zao na jamaa zao, walikuwa 2,630. 41Hii ilikuwa ndiyo jumla ya wale wa koo za Gershoni ambao walitumika katika Hema la Kukutania. Mose na Aroni waliwahesabu kufuatana na amri ya Bwana. 42Wamerari walihesabiwa kwa koo zao na jamaa zao. 43Wanaume wote kuanzia umri wa miaka thelathini hadi miaka hamsini ambao walikuja kutumika katika Hema la Kukutania, 44waliohesabiwa kwa koo zao, walikuwa 3,200.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.