Native Bible

Numbers 4:38 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Wagershoni walihesabiwa kwa koo zao na jamaa zao.

Numbers 4:38 in English

Numbers 4:38 · Berean Standard Bible

Then the Gershonites were numbered by their clans and families,

Context

36waliohesabiwa kwa koo zao, walikuwa 2,750. 37Hii ilikuwa ndiyo jumla ya wote wale wa koo za Wakohathi ambao walitumika katika Hema la Kukutania. Mose na Aroni waliwahesabu kufuatana na amri ya Bwana kupitia kwa Mose. 38Wagershoni walihesabiwa kwa koo zao na jamaa zao. 39Watu wote kuanzia umri wa miaka thelathini hadi hamsini ambao walikuja kutumika katika Hema la Kukutania, 40waliohesabiwa kwa koo zao na jamaa zao, walikuwa 2,630.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.