Native Bible

Numbers 4:36 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

waliohesabiwa kwa koo zao, walikuwa 2,750.

Numbers 4:36 in English

Numbers 4:36 · Berean Standard Bible

And those numbered by their clans totaled 2,750.

Context

34Mose, Aroni na viongozi wa jumuiya wakawahesabu Wakohathi kwa koo zao na jamaa zao. 35Wanaume wote kuanzia umri wa miaka thelathini hadi hamsini ambao walikuja kutumika katika Hema la Kukutania, 36waliohesabiwa kwa koo zao, walikuwa 2,750. 37Hii ilikuwa ndiyo jumla ya wote wale wa koo za Wakohathi ambao walitumika katika Hema la Kukutania. Mose na Aroni waliwahesabu kufuatana na amri ya Bwana kupitia kwa Mose. 38Wagershoni walihesabiwa kwa koo zao na jamaa zao.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.