Native Bible

Numbers 34:28 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Pedaheli mwana wa Amihudi, kiongozi kutoka kabila la Naftali.”

Numbers 34:28 in English

Numbers 34:28 · Berean Standard Bible

and Pedahel son of Ammihud, a leader from the tribe of Naphtali.”

Context

26Paltieli mwana wa Azani, kiongozi kutoka kabila la Isakari; 27Ahihudi mwana wa Shelomi, kiongozi kutoka kabila la Asheri; 28Pedaheli mwana wa Amihudi, kiongozi kutoka kabila la Naftali.” 29Hawa ndio watu ambao Bwana aliamuru wagawanye urithi kwa Waisraeli katika nchi ya Kanaani.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.