Hesabu 34:26
Numbers 34:26 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Paltieli mwana wa Azani, kiongozi kutoka kabila la Isakari;
Numbers 34:26 in English
Numbers 34:26 · Berean Standard Bible
Paltiel son of Azzan, a leader from the tribe of Issachar;
Context
24Kemueli mwana wa Shiftani,
kiongozi kutoka kabila la Efraimu mwana wa Yosefu; 25Elisafani mwana wa Parnaki,
kiongozi kutoka kabila la Zabuloni; 26Paltieli mwana wa Azani,
kiongozi kutoka kabila la Isakari; 27Ahihudi mwana wa Shelomi,
kiongozi kutoka kabila la Asheri; 28Pedaheli mwana wa Amihudi,
kiongozi kutoka kabila la Naftali.”
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.