Hesabu 34:25
Numbers 34:25 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Elisafani mwana wa Parnaki, kiongozi kutoka kabila la Zabuloni;
Numbers 34:25 in English
Numbers 34:25 · Berean Standard Bible
Eli-zaphan son of Parnach, a leader from the tribe of Zebulun;
Context
23Hanieli mwana wa Efodi,
kiongozi kutoka kabila la Manase mwana wa Yosefu; 24Kemueli mwana wa Shiftani,
kiongozi kutoka kabila la Efraimu mwana wa Yosefu; 25Elisafani mwana wa Parnaki,
kiongozi kutoka kabila la Zabuloni; 26Paltieli mwana wa Azani,
kiongozi kutoka kabila la Isakari; 27Ahihudi mwana wa Shelomi,
kiongozi kutoka kabila la Asheri;
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.