Native Bible

Numbers 34:29 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Hawa ndio watu ambao Bwana aliamuru wagawanye urithi kwa Waisraeli katika nchi ya Kanaani.

Numbers 34:29 in English

Numbers 34:29 · Berean Standard Bible

These are the ones whom the LORD commanded to apportion the inheritance to the Israelites in the land of Canaan.

Context

27Ahihudi mwana wa Shelomi, kiongozi kutoka kabila la Asheri; 28Pedaheli mwana wa Amihudi, kiongozi kutoka kabila la Naftali.” 29Hawa ndio watu ambao Bwana aliamuru wagawanye urithi kwa Waisraeli katika nchi ya Kanaani.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.