Hesabu 34:12
Numbers 34:12 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Kisha mpaka utashuka kuelekea Mto Yordani na kuishia katika Bahari ya Chumvi. “ ‘Hii itakuwa nchi yenu, ikiwa na mipaka yake kila upande.’ ”
Numbers 34:12 in English
Numbers 34:12 · Berean Standard Bible
Then the border will go down along the Jordan and end at the Salt Sea. This will be your land, defined by its borders on all sides.”
Context
10“ ‘Kwa mpaka wenu wa mashariki, wekeni alama kuanzia Hasar-Enani hadi Shefamu. 11Mpaka utaelekea kusini kuanzia Shefamu hadi Ribla upande wa mashariki wa Aini, na kuendelea kwenye miteremko mashariki mwa Bahari ya Kinerethi.* 12Kisha mpaka utashuka kuelekea Mto Yordani na kuishia katika Bahari ya Chumvi.
“ ‘Hii itakuwa nchi yenu, ikiwa na mipaka yake kila upande.’ ” 13Mose akawaamuru Waisraeli: “Gawanyeni nchi hii kwa kura kama urithi. Bwana ameagiza kwamba itolewe kwa yale makabila tisa na nusu, 14kwa sababu jamaa ya kabila la Reubeni, kabila la Gadi, na nusu ya kabila la Manase wamekwishapokea urithi wao.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.